kama hakupendi unasubiri nini kuweni wastahmilivu atakuja alie sahihi kwa mda mliopangiwa binadamu tuna haraka tu
Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili,
Yamenikuta mimi to be open.
Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani % sawa) na vilevile ambaye humpendi ndo kwanza anakusumbua.
Mimi hili swali naulizaga mara nyingi bila majibu yenye kufumbua my MEDULA OBLANGATA
Kwanza kupenda maana yake nini? Yaani unajuaje kama umependa au umependwa?
Kupenda ni ile hali ya kuwa na utamani wa kumuona mwenzi wako kila mara na ili hali kwa upande wake hana hiyo time na wewe.
Ni shidaaa weweeee. isikie tu kwa mwenzako isikupate.
usipokuwa makini waweza ku run kichaa.
Naamini nimekujibu swali lako.
Huko ni kutamani na siyo kupenda! Kupenda hili neno tunalitumia vibaya, kupenda ni zaidi ya hapo na siyo kijuu juu tu kama ulivyoainisha!
Kupenda ni ngazi nyingine kabisa. Hayo uliyoyaelezea ni matamanio tu na mwenzio asipokurejeshea unashikwa tu na hasira na kukasirika na hivyo unafikiri kwamba umependa kumbe ni hasira tu lakini kupenda inakwenda ndani zaidi na hutokea mara chache sana ktk maisha!
Kuna msemo unasema ''michezo ya farasi waachie farasi wenyewe''
sasa kama wewe ni mnyama lakini jamii ya nguchiro
ukataka kwenda viwanja vya farasi ili ukacheze,hata kama una nia
ya dhati na huo mchezo,watakukanyaga na wala hawatajua kama kuna mwenzetu tumeishamuumiza.:confused2:
Dunia ndivyo ilivyo. Kwenye mahusiano tunakimbizana kama mbio za vijiti. Unayempenda hakupendi, na yeye anayemoenda hampendi... Inaendelea hivo hivo... Ndo maisha. Kinachotakiwa ni kuvumilia na kusikilizana. Watu wa dini wanasema mshirikishe MunguNaamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili,
Yamenikuta mimi to be open.
Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani % sawa) na vilevile ambaye humpendi ndo kwanza anakusumbua.
Mimi hili swali naulizaga mara nyingi bila majibu yenye kufumbua my MEDULA OBLANGATA
wooow mkuu naona unafufua makaburi ya siku nyingiDunia ndivyo ilivyo. Kwenye mahusiano tunakimbizana kama mbio za vijiti. Unayempenda hakupendi, na yeye anayemoenda hampendi... Inaendelea hivo hivo... Ndo maisha. Kinachotakiwa ni kuvumilia na kusikilizana. Watu wa dini wanasema mshirikishe Mungu
Hapana, kuna watu wanadhani sioni maandiko yao wala sicomment. Nimeamua niwe nachangia hoja kama ifuatavyo ili watu waamini Kwamba nasoma.wooow mkuu naona unafufua makaburi ya siku nyingi
you mchokozi haswaaaa... asante sana kwa ushauri wako