Hivi inakuwaje unayempenda hakupendi, usiyempenda anakupenda?

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,745
16,355
Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili,

Yamenikuta mimi to be open.

Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani % sawa) na vilevile ambaye humpendi ndo kwanza anakusumbua.

Mimi hili swali naulizaga mara nyingi bila majibu yenye kufumbua my MEDULA OBLANGATA
 
Kwanza kupenda maana yake nini? Yaani unajuaje kama umependa au umependwa?
 
Achana nae ndugu utaumia saiv ila mwisho wa siku saaaafi kabisa roho nyeupeee umemsahau
 
Kwanza kupenda maana yake nini? Yaani unajuaje kama umependa au umependwa?

Kupenda ni ile hali ya kuwa na utamani wa kumuona mwenzi wako kila mara na ili hali kwa upande wake hana hiyo time na wewe.
Ni shidaaa weweeee. isikie tu kwa mwenzako isikupate.

usipokuwa makini waweza ku run kichaa.

Naamini nimekujibu swali lako.
 
Huko ni kutamani na siyo kupenda! Kupenda hili neno tunalitumia vibaya, kupenda ni zaidi ya hapo na siyo kijuu juu tu kama ulivyoainisha!
Kupenda ni ngazi nyingine kabisa. Hayo uliyoyaelezea ni matamanio tu na mwenzio asipokurejeshea unashikwa tu na hasira na kukasirika na hivyo unafikiri kwamba umependa kumbe ni hasira tu lakini kupenda inakwenda ndani zaidi na hutokea mara chache sana ktk maisha!
 
ohooo ni kweli aisee naanza kufunguka sasa. Asante sana Mkuu umenisaidia sana.
 
Kuna msemo unasema ''michezo ya farasi waachie farasi wenyewe''
sasa kama wewe ni mnyama lakini jamii ya nguchiro
ukataka kwenda viwanja vya farasi ili ukacheze,hata kama una nia
ya dhati na huo mchezo,watakukanyaga na wala hawatajua kama kuna mwenzetu tumeishamuumiza.:confused2:
 
tz2015 wewe ni nomaaaa. Nimekusikia Mkuu asante.
 
Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili,

Yamenikuta mimi to be open.

Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani % sawa) na vilevile ambaye humpendi ndo kwanza anakusumbua.

Mimi hili swali naulizaga mara nyingi bila majibu yenye kufumbua my MEDULA OBLANGATA
Dunia ndivyo ilivyo. Kwenye mahusiano tunakimbizana kama mbio za vijiti. Unayempenda hakupendi, na yeye anayemoenda hampendi... Inaendelea hivo hivo... Ndo maisha. Kinachotakiwa ni kuvumilia na kusikilizana. Watu wa dini wanasema mshirikishe Mungu
 
wooow mkuu naona unafufua makaburi ya siku nyingi

you mchokozi haswaaaa... asante sana kwa ushauri wako
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom