Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
baada ya kupitia kura za uchaguzi mdogo uliofanyika kati uliofanyika katika kata 22 vyama vya CHADEMA,NCCR,CUF,NLD katika uchaguzi huu vyama vyote viliweka wagombea.
mbaya zaidi ukiangalia kura walizopata chadema,Nccr,act na cuf ukizijumlisha upinzani ulikuwa kama kungekuwa na mgombea mmoja ina maana ukawa wangechukua ushindi .
kama chadema waliweka wagombea kata zote, nccr waliweka wagombea kata zote cuf waliweka wagombea kata zote na nld waliweka mgombea kata zote
hivi hapo tukitokea tumeshidwa na tumegawana kura hivi tunaweza kulalamika tumeibiwa.
hivi kabla ya uchaguzi tungefanya mgawanyo wa kata kati ya cuf,chadema,nccr na nld mapema kabla ya kuingia katika uchaguzi na kugawana kata hivi mnajua leo hii ukawa wangechukua kata ngapi .
HIVI KWA UPINZANI HUU AINA YA UKAWA CHADEMA,CUF,NCCR,NLD KILA CHAMA KUWEKA MGOMBEA IVI ITAWEZEKANA KWELI KUISHINDA CCM KWA MFUMO HUU WA UPINZANI KUGAWANA KURA .
JEE KAMA MFUMO WA HUU WA KISIASA UKIENDELEA NI KWELI TUTAWEZA KUISHINDA CCM