Hivi Inakuingia akilini kweli?

Hivi Inakuingia akilini kweli?

si ndio hao panya road hapa kwetu, au book haram huko Nigeria
 
Black Magic in action. Chezea mzee wa Bariadi nini weye. Watu wanaacha lindo wenyewe kuponya nafsi zao
 
Black Magic in action. Chezea mzee wa Bariadi nini weye. Watu wanaacha lindo wenyewe kuponya nafsi zao

ha ha ha kwa hali hiyo hapa Tz Hatuna Mapolisi Hata Salf Defence Hakuna
 
Swala sio Silaa nzito! Swali ni nan atawahi kuitumia
 
Siasa imeharibu kila kitu ndani ya nchi hii...
Tz inazidi kuwa nchi ya maajabu dunian,, askar umepata mafunzo lakn bado unakuwa mbendembende kiivyo?!!
 
Husen bolt wa tz a.k.a . . . . . . . . . . . . . .
 
Bunduki yenyewe haina risasi
 
Bunduki yenyewe unaweza kukuta haina risasi hata moja ni sawa na toi
 
Back
Top Bottom