Mapenzi na yenu wawi,yawezekana tena sana wewe ndio tatizo;kwa sababu-
1.unaonesha kumjali zaidi pale unapotaka kula tunda.
2.yawezekana pia wewe una asili ya uchafu, muumin mzuri wa TBL &TCC
3.mazingira unayo kaa,hayana usili.mko chumbani jiran anakuna nazi dirishani kwako.
4.tayari anajua uhusiano wenu sio wa kudumu,na hajapata mwingine.
5.alikuwa na matarajio makubwa sana mlipoanza uhusiano (yawezekana ulimwambia wewe ni accountant pale ofisin kwako,kumbe sio!)
NB:MWANAMKE AKIKUPENDA KWELI KWELI,UKIMGUSA TU.YALE MAENEO UTAKUTA YANA CHEMICHEMI TAYARI.