jadide
Member
- Jun 7, 2017
- 55
- 50
Wadau tukumbushane kidogo km mnakumbuka mwaka Jana kulikuwa na habari iliyoenea nchi mzima kuhusu yule bwana aliyetuhumiwa kumpiga hadi kumtoboa macho bwana Said baadae akakamatwa na kufikishwa mahakamani sasa sijajua ile kesi ilipoishia mwenye taarifa tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app