Hivi huyu anamringishia nani.....?

Hivi huyu anamringishia nani.....?

inaonyesha hana hisia za kimapenzi kabisa. na unajua wanaume wengi huwa wanapandisha hisia za hii makitu haraka zaidi kuliko wanawake. pia kwa baadhi ya wanaume wanapokuwa stressed wanaweza kuliwazwa kwa hii kitu wakati kwa mwanamke ni tofauti .
Au pengine ni mke wa mtu na hapo anachit chat kwenye lile jukwaa la Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Black-woman-cheating.jpg


Hapa mimi sielewi, je atakua anamringishia mtu aliyeko hapo pembeni yao au kuna kitu anawaza na je atakuwa anawaza nini hapo.................!!!????

Alingishiwi mtu, anatamani Jamaa amalize hamu yake ya denda, mbona kichefuchefu?
 
Alikuwa hayupo comfortable kwakufanya hivyo mbele ya adhara ila hakutaka pia kumkwaza mpenzi wake kwa hakuwa tayari kumkatalia mwenziye aliyekuwa tayari kaisha chomoa ulimi ili ale denda!!!
talking from experince! KakaKiiza sabal kheri??
 
Last edited by a moderator:
Mambo iko huku:
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    48.8 KB · Views: 56
  • image.jpg
    image.jpg
    11.8 KB · Views: 54
  • image.jpg
    image.jpg
    31.2 KB · Views: 52
Black-woman-cheating.jpg


Hapa mimi sielewi, je atakua anamringishia mtu aliyeko hapo pembeni yao au kuna kitu anawaza na je atakuwa anawaza nini hapo.................!!!????

hapa jibu nimelikosa kwa kweli.
YAWEZEKANA......
  1. wapambe wanaoneshwa
  2. cha zamani kinaumizwa AU
  3. kamdomo ka bwana kaka AU
  4. kashtukizwa AU
  5. kunakitu anashangaa
  6. ...................
  7. .................
  8. ................
 
au kuna mtu anamrusha roho..

kuepuka hiyo style unaanza kubusu paji la uso then unshuka kwenye mdomo hawezi hawezi kuweka uso pembeni kama hivyo
 
Black-woman-cheating.jpg


Hapa mimi sielewi, je atakua anamringishia mtu aliyeko hapo pembeni yao au kuna kitu anawaza na je atakuwa anawaza nini hapo.................!!!????

hapa naona analingishiwa mpiga picha bila shaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom