Hivi huyu anamringishia nani.....?

Hivi huyu anamringishia nani.....?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Black-woman-cheating.jpg

Hapa mimi sielewi, je atakua anamringishia mtu aliyeko hapo pembeni yao au kuna kitu anawaza na je atakuwa anawaza nini hapo.................!!!????
 
Alikuwa hayupo comfortable kwakufanya hivyo mbele ya adhara ila hakutaka pia kumkwaza mpenzi wake kwa hakuwa tayari kumkatalia mwenziye aliyekuwa tayari kaisha chomoa ulimi ili ale denda!!!
 
Huyo lazima kuna mtu anamkomesha pembeni yake,atakuwa mpenzi wake aliyemmwaga hivi karibuni,naona anamwambia kwa macho ''ulifikiri nitababaika ukinitema?loooo umechemsha unaniona hapa na handsome wangu''?
 
Black-woman-cheating.jpg

Hapa mimi sielewi, je atakua anamringishia mtu aliyeko hapo pembeni yao au kuna kitu anawaza na je atakuwa anawaza nini hapo.................!!!????
Anawaza imekuaje amempenda mwanaume huyu ambaye anakiss nae sasa wakati zamani alikuwa hataki hata kumsikia.
 
Alikuwa hayupo comfortable kwakufanya hivyo mbele ya adhara ila hakutaka pia kumkwaza mpenzi wake kwa hakuwa tayari kumkatalia mwenziye aliyekuwa tayari kaisha chomoa ulimi ili ale denda!!!

utumwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom