Kusini pride JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 1,762 Reaction score 4,079 Nov 14, 2024 #1 Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana
Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 23,004 Reaction score 29,242 Nov 14, 2024 #2 Msukuma huyo, hawa jamaa wengi wako vizuri na wachapa kazi sana.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,598 Reaction score 89,273 Nov 14, 2024 #3 ana akaunti x ungemuuliza hukohuko sasa huku si umefata umbea tukikuambia yeye ni jini ukibisha sisi tukuchukulieje!
ana akaunti x ungemuuliza hukohuko sasa huku si umefata umbea tukikuambia yeye ni jini ukibisha sisi tukuchukulieje!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,455 Reaction score 104,033 Nov 14, 2024 #4 Alishindwa muziki kaja kuwaibia kwa style nyingine.
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Nov 14, 2024 #5 Hebu tupe mfano wa madini yake tuone,maana sio wote tupo x
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 676 Reaction score 1,118 Nov 14, 2024 #6 Ni weww mwenyewe
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,363 Reaction score 111,626 Nov 14, 2024 #7 Niite bazinkulu said: Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana Click to expand... Unajitekenya mwenyewe, unajitia dole mwenyewe halafu unanusa mwenyewe. JF siyo X kwa maboya wenzako, hapa umeshafanyiwa screening.
Niite bazinkulu said: Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana Click to expand... Unajitekenya mwenyewe, unajitia dole mwenyewe halafu unanusa mwenyewe. JF siyo X kwa maboya wenzako, hapa umeshafanyiwa screening.