Mbali na huo mtazamo wa kibiashara,namaanisha ili useme umefanikiwa unatakiwa uwe na uhuru wa kifedha...hata ukiwa unaumwa kitandani fedha inaingia...hii haimaanishi mtu ameajiriwa leo ni CEO/Manager n.k anasema amefanikiwa wakati hana uhuru wa kifedha zaidi ya kungojea mshahara,akitumbuliwa anaanza kulia lia.