Mbona bado mapema Sana, ndo kwanza tunaanza ujuesijaelewa sijui ni hizi Serengeti lite...
Hahahaha, ongeza zinginesijaelewa sijui ni hizi Serengeti lite...
Unataka ueleweshweje labda wapi??
Yani unakuta mtu ni yupo serious na wanaomfuata nikumfukuzia tu wamchezee au wapate mtu wakumpa kampani ya temporaryKucheza na hisia zao unamaanisha nini??
Vipi wewe ushapata tayari?
Userious inategemeana na aliyeleta bango kama kweli anaonyesha yuko serious.Ninaomba majibu yenu
Huwa nipo serious@Mysweet. Hope you are serious too. So let's mingle.Ninaomba majibu yenu
Babe...
Niongeze tu hizi post za humu zinanipaishaHahahaha, ongeza zingine
anataka akayatumie kujbu mtihani NECTAunaomba majibu yetu uyapeleke wapi??