Hivi huku ni kujivuna au?

Aisee wee mwanamke una kidomo domo kila siku unaropoka jipyaView attachment 471997
Ulianza kujitapa una mume,saiv unaturingishia gari hayatuhusu bibie.uso umekupauka kama make up ya kuazima.
Maneno ya mkosaji, wewe kama Mungu kakunyima basi jua huna tu hakuna haja ya kuonyesha machungu yako kwa matusi badala yake ongeza bidii nawe uendane na kasi ya tuliojaaliwa
 
14574110_1644454699181917_3355504106931224576_n.jpg

Shostie pole wee naona unataman hata kulia
Maneno ya mkosaji, wewe kama Mungu kakunyima basi jua huna tu hakuna haja ya kuonyesha machungu yako kwa matusi badala yake ongeza bidii nawe uendane na kasi ya tuliojaaliwa
 
Watu wako busy na muda Wa kusalimia anautoa wapi eti bibie ndo mana kanunua aokoe muda au
 
Wewe ndio umesemaaa
Hata wewe nadhani tabia zako zilibadilika baada ya kupiga hatua kadhaa kadhaa na hata aina ya marafiki pia wamebadilika...

Naweza sema hata ongea, mindoko, mikogo na mikogo imedadilka.. Ndiyo maana ume notice mabaadiliko ya mtu mwingine...
 
Kwa hiyo hata salam unaweza usitoe ukipata hayo mabadiliko etii?
 
halafu mnafanana sana!
ila pole, samahani, kumradhi, ashakum si matusi, tujifunze kutosengenyana, kumsengenya mwenzio jukwaani kama hapa ni vibaya sana
Acha kujistukia au unasemwa wewe nini
Kwani huwezi changia mada mpaka utoe neno la kuudhi
 
Kwa hiyo hata salam unaweza usitoe ukipata hayo mabadiliko etii?
Nikuambia kitu cha kweli... Sisi binadamu tupo hivi...

Ukiwa na gari...
1. Ukisimamisha kutoa salam watu watongea kwamba umesimamisha makusudi ili uwakoge na kigari chako...

2. Ukipita bila salam watu watongea kwamba siku hizi unaringa na kigari chako...

Cha kufanya wewe pita tu.. Kalipaki alafu kama ukirudi kwa miguu wasalimie...
 
Kuna watu humu wanajidai wastaarabu kumbe wale wale. Ooh tabia za kiswahili mara wivu,kumbe huko mitaan kwao ndio viongozi wetu kwa haya tunayoyaandika hapa.

Mbona wengine husalimiaa na wana magari haswaaa
 
Kuna watu humu wanajidai wastaarabu kumbe wale wale. Ooh tabia za kiswahili mara wivu,kumbe huko mitaan kwao ndio viongozi wetu kwa haya tunayoyaandika hapa.
Wanasahau jamii zetu unavyotakiwa kuishii watu humu huwaga wanajifanya tu,,,mi nasemea navyoona maana rafiki zake baadhi eti mpaka kaanza kuwasahau majina na anacheza nao mpira hahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom