Hivi huko Guangzhou hakuna TANROADS na NEMC

Hivi huko Guangzhou hakuna TANROADS na NEMC

Wewe China population Sawa na Tanzania ?robo Ya watu duniani wanaishi china . Kule shida ya ardhi kubwa ziko nyumba hadi juu Ya maji zile zinazoelea mitoni maziwani na baharini.
Nani kakuambia China kina shida ya ardhi? Jikite kwenye swali la msingi, kina tija gani kwa hizi sheria zetu za kipekee?
 
Jamani nazunguka huku na njia za kutoka mjini natafuta mita 120 za kimara sizioni, natafuta mambo ya kujenga ufukweni na kando ya mito sioni ujinga kama wa NEMC, hivi sisi ni nani alituroga jamani? Hivi visiwa vya Maldives na Bora Bora vingejengwaje? Hawa wapuuzi wana akili za kimaskini
mbona hujauliza Posta au Kariakoo.
hata wao wanaishi kwa Utaratibu.
Bila nemc bibi na babu zako huko vijijini wangekuwa wanakufa kwa kiu baada ya maji kuchafuliwa au mito kukaushwa na walafi wa maendeleo ya fastafasta bila kujali vizazi vijavyo
 
Hujazunguka sehemu zote unataka kunambia hata posta mwenge keko mbagara nako kuna 120 m?

blame no body
 
Back
Top Bottom