Jamani nazunguka huku na njia za kutoka mjini natafuta mita 120 za kimara sizioni, natafuta mambo ya kujenga ufukweni na kando ya mito sioni ujinga kama wa NEMC, hivi sisi ni nani alituroga jamani? Hivi visiwa vya Maldives na Bora Bora vingejengwaje? Hawa wapuuzi wana akili za kimaskini