Heee!! Alijiwowa?
Chezea kujiwowa
Kha!watu wanayaweza?yani anajichombeza mwenyewe kwa maneno mazuri.Haya my wii mbona ulinidanganya utakuja home jamani????
Mahari anaitoa mwenyewe na kuipokea mwenyewe.
Khaaaa sasa kama hayupo wa kukuchombeza unafanyaje? Nisamehe wii ntamwambia kaka yako tuje weekend hii
Ndo ushalitembelea teenaah
Ndoa ipo gadooooo! Acheni basi unaa nipewe hela ya nauli mwenzenu! Naonheza mauno kumkoleza huyu mwanaume!
Nimuache kwa lipi baya?Umejitahidi hujaachika mpk leo
Nimuache kwa lipi baya?