na ndivyo ilivyoNadharia yangu.
EFD huwawezesha TRA kujua jamaa kauza sh ngapi kwa mwezi hivyo huweza kujua VAT n sh ngapi na KODI nyinginezo wanazohitaji kumkata mfanya biashara ni sh ngapi.
Baada ya hapo mfanyabiashara ndio anapata taarifa ya kiasi cha pesa anatakiwa kuwalipa TRA kwa msaada wa mhasibu (hapa kuna zile gharama nyinginezo mfanyabishara anaingia mfano umeme, usafiri, kodi ya pango n.k. hivyo mhasibu atamsaidia kufanya hizo calculation) hivyo mfanya biashara ndio anapeleka yeye mwenyewe kiasi pesa kwenye akaunti ya benki ya TRA
Note: Mimi sio mfanyabiashara wala mwanauchumi. Hivyo hiyo hapo juu ni nadharia tu
Sent using Jamii Forums mobile app