Hivi hiyo uau wao tukta wa wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hiyo uau wao tukta wa wapi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, May 5, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nielewesheni hawa jamaa wameanzia wapi maana kila kukicha kunazaliwa wapya au kwa kuwa uchaguzi unakaribia walikuwepo wapi miaka yote au ndio wameona makula ni hapo ha wao.
  maana watanzania kwa kupigana changa la macho si haba wapo akili yanguhainipi kabisa
  Conquest-just TUKTA OR TRACTOR(ULIMI AUHISHI MATE)
   
 2. n

  nndondo JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Wao walikuwepo wewe ndio tukuulize ulikua wapi, I hate hypocrits, cheap staff what are you trying to insinurate? kwamba hii issue ya TUCTA ni upuuzi? sad very sad unachojua ni kujadili watu issues hapana halafu unataka kujua wakali wa issues walikua wapi, wako kwenye circles zao za wenye akili
   
Loading...