Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,970
Katika kupitia mitandao mbalimbali,nimekuta mmoja wa viongozi wakubwa wa dini aliekuwepo Simiyu mpaka sasa akihudhuria Maulid.
Lakini kilichonishangaza alipokuwa ktk ofisi ya Mkuu wa mkoa alikuwa akipigiwa saluti.....je hili suala limekaaje kisheria????
Lakini kilichonishangaza alipokuwa ktk ofisi ya Mkuu wa mkoa alikuwa akipigiwa saluti.....je hili suala limekaaje kisheria????