Hivi hii kozi ya urban and regional planning ndio ikoje?

Ardhi kuna kozi mbili .kuna urban and regional planning na regional development planning. Ambayo kwa kiswahil .ni mipango ya maendeleo ya mikoa ..nadhan kinachoshindwa kutofautishw in kwamba .mipango in maendeleo ya mikoa na ardhi ni miji na mipango ya mikoa
 
Habar wadau hivi hiki chuo kinawaona watu hawana hakili au maan sikielewi kabisa,kuna dogo langu aliapply chuo hiko kwa level ya diploma katik main campus ya chuo hiko,juz tena wanamwambia eti chuo hiko hakipokei wanafunzi wa diploma kwa mwez huu wa march ila branch yao iliyoko mwanza ndio inapokea lkn sio main campus iliyoko dodoma,mbon mnatufanya hivyo jaman mngesema tokea mwanzo sio kwakutudangany huko kama brach ya mwanza ndio inapokea watu wadiploma mnatushtukiza inabidi wabadilike bhana.
 
Hakunaga diploma ya march intake mkuuu iyo ni certificate umechanganya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau nijuzen kuhusu hii kitu maan mm ni mgeni wa hii kitu.
 
Mkuu ninadogo langu anapass ya math,geo,kisw,bios na engl anaweza piga hii kitu na je sehem gan anaweza piga hii kitu.
Anatakiwa awe na D mbili na C moja kwenye masomo ya Physics, chemistry na Maths au Physics, Geography na Maths.
FTC ni equivalent ya Diploma ilikuwa inafundishwa miaka ya zamani ila Kwa sasa Kuna Diploma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kozi ni kozi inayotolewa na vyuo vilivyo chini ya VETA na veta yenyewe. Ni equivalent na diploma inayotolewa na vyuo vilivyo chini ya CTU.
Wrong sio kweli Tena matango pori kabisa.
FTC Ni kifupi Cha full technician certificate Hawa ni mafundi mchundo kwa ngazi za diploma za engineering na vyuo vinavyotoka Ni DIT, MUST, ATC, NIT.

Ni equivalent na diploma huko utakuta kozi Kama diploma ya computer engineering ( science), mining engineering, mechanical engineering, civil engineering, electrical engineering na nyinginezo za kihandis
 
eti FTC inatolewa na Veta mtu kitu hajui analeta ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kozi ni kozi inayotolewa na vyuo vilivyo chini ya VETA na veta yenyewe. Ni equivalent na diploma inayotolewa na vyuo vilivyo chini ya CTU.
Siyo kweli kwamba hii kozi iko chini ya veta ,
Kozi hii ipo chini ya NACTE.
HII kozi zamani ndo ilikuwa ikiitwa FTC(full technician vertificate) wahitimu wa kozi hii walikuwa wakiitwa mafundi mchundo kwa kiswahili.
Sasa hivi kozi hii ikebadlishwa jina na inaitwa diploma.
Kozi hii hapa tanzania inatolewa na vyuo vinne tu
Vyo hivyo ni
1.mbeya university of science nad technology.
2.dar es salaam institute of technology.
3.technical college of arusha.
4.kuna chuo kipo zanzibar nimesahau jina

Ni kozi ilikuwa jiwe kweli kweli ,maana kufeli ilikuwa nje nje.
Wengi wameharibiwa maisha na hii kozi ya ftc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI

NIT na WDMI nao wanatoa
 
Back
Top Bottom