Hivi hii suprise ina uhalali?

Hivi hii suprise ina uhalali?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Jana usiku nilikua nimekaa zangu block G{kwa wale wana udsm nadhan wengi wenu mtakua mnapajua}wakaja wadada wawil wakakaa pembeni yangu,mmoja akaanza kumwelezea/kumuomba ushauri mwenzie kwamba,alikua amelala na boyfriend wake usiku uliotangulia,huyo bf wake akamtegea amelala,then akamfanyia suprise akamvalisha pete ya uchumba yeye akiwa usingizini,alivoamka asubuh ndio mshkaji akamwambia kwamba amemfanyia suprise,amemvalisha pete ya uchumba,kwa hyo akamuomba kuanzia dakika hyo ajitambue yeye ni mchumba wa mtu..sasa huyo dada anacholalamikia ni kwa nin mshikaji amvalishe pete bila willngness yake,nkasikia pia anamwambia mwenzie kuwa,yeye anaogopa kuwa kwenye committment kwa sasa,hvo mshikaji kama amewahisha sana suala hlo.sasa ndo na mie nikawa najiuliza hvi kuna suprise kama hizi za huyu jamaa hapa ulimwenguni,maana na mie namuona mshkaji kama kalazimishia flani hvi?
 
makubwa cku zote hua siamini katika pete za namna hiyo,anajua definition ya uchumba kweli huyo bf au ye kwake uchumba ni pete.bf wengi na c kila bf anaweza kua mchumba
 
Hapo hakuna surprise yoyote, ni chizi mmoja kaamua kujifurahisha nafsi yake.
 
Nilifikiri engagement huwa inaulizwa kwanza, unaomba kwanza ukikubaliwa ndio unamvisha pete (would you marry me?= Yes or no?)...si kila kitu ni cha kumfanyia surprise mtu. Huyo binti yuko sawa kabisa, hizo ni dalili za udikteta kwenye mahusiano.
 
Jana usiku nilikua nimekaa zangu block G{kwa wale wana udsm nadhan wengi wenu mtakua mnapajua}wakaja wadada wawil wakakaa pembeni yangu,mmoja akaanza kumwelezea/kumuomba ushauri mwenzie kwamba,alikua amelala na boyfriend wake usiku uliotangulia,huyo bf wake akamtegea amelala,then akamfanyia suprise akamvalisha pete ya uchumba yeye akiwa usingizini,alivoamka asubuh ndio mshkaji akamwambia kwamba amemfanyia suprise,amemvalisha pete ya uchumba,kwa hyo akamuomba kuanzia dakika hyo ajitambue yeye ni mchumba wa mtu..sasa huyo dada anacholalamikia ni kwa nin mshikaji amvalishe pete bila willngness yake,nkasikia pia anamwambia mwenzie kuwa,yeye anaogopa kuwa kwenye committment kwa sasa,hvo mshikaji kama amewahisha sana suala hlo.sasa ndo na mie nikawa najiuliza hvi kuna suprise kama hizi za huyu jamaa hapa ulimwenguni,maana na mie namuona mshkaji kama kalazimishia flani hvi?

Hayatuhusu. Hizi habari za umbeya pelekeni kwenye majukwaa mengine. sio humu ndani. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma hoja za wenzako. Hii tabia ya kuleta mambo ya vijiweni ikome mara moja. JF inasomwa na viongozi wakubwa tanzania. Watanzania duniani kote wanaingia JF. Leteni mada za maana. JF ni chombo kikubwa cha habari, lakini sio habari za kipuuzi kama hizi ulizoleta hapa. Narudia tena. Hii tabia ikome mara moja kuanzia sasa. Tumechoka.
 
Uchumba sio pete.

Ili mtu awe mchumba kwanza lazima atambulike (na kukubalika) na pande zote mbili (uumeni na ukeni)
Pili lazima binti aitoe ridhaa ama nia hiyo kwa wazazi wake. (kwa maana ingine awaeleze wazazi wake kwamba nimempenda na niko tayari kuolewa na .....

Barua/ujumbe wa uchumba iwe imepelekwa kwa wazazi wa binti, wazazi wakimhoji binti akikubali kumfahamu na kuwa
yupo tayari kuolewa ndio muoaji anapewa ruhusa ya taratibu za kulipa mahari.

Baada ya mahari kulipwa aidha yote ama sehemu ya mahari ndipo kijana wa kiume anapewa ruhusa ya kumvisha pete
msichana kuwa MCHUMBA

Pete ya uchumba maana yake binti unayemuona tayari amepata mwenza anayetarajia kufunga nae ndoa
baada ya muda fulani. Hivyo wazazi wa binti hawatampokea kijana yoyote mpaka binti na muoaji waseme
hawako tena tayari kuoana. Na ikifikia hapo kijana anapaswa kurudishiwa pete yake(na sehemu ya mahari kwa baadhi ya makabila).

Swali kijana huyo amefanya walau machache kati ya hayo? kama hakuna amempa UREMBO TU
 
VP Perry umeshazoea chuo??
nakumbuka ni juzijuzi uliinga hapo kwa mbwembwe.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sioni tatizo,the answer is simple and straightforward,kama hakubaliani na hiyo pete,siaivue tu!!
 
Mdogo wangu hivi huwezi kabisa kuongea bila kujulisha watu kuwa upo UDSM?
 
Uchumba sio pete.

Ili mtu awe mchumba kwanza lazima atambulike (na kukubalika) na pande zote mbili (uumeni na ukeni)
Pili lazima binti aitoe ridhaa ama nia hiyo kwa wazazi wake. (kwa maana ingine awaeleze wazazi wake kwamba nimempenda na niko tayari kuolewa na .....

Barua/ujumbe wa uchumba iwe imepelekwa kwa wazazi wa binti, wazazi wakimhoji binti akikubali kumfahamu na kuwa
yupo tayari kuolewa ndio muoaji anapewa ruhusa ya taratibu za kulipa mahari.

Baada ya mahari kulipwa aidha yote ama sehemu ya mahari ndipo kijana wa kiume anapewa ruhusa ya kumvisha pete
msichana kuwa MCHUMBA

Pete ya uchumba maana yake binti unayemuona tayari amepata mwenza anayetarajia kufunga nae ndoa
baada ya muda fulani. Hivyo wazazi wa binti hawatampokea kijana yoyote mpaka binti na muoaji waseme
hawako tena tayari kuoana. Na ikifikia hapo kijana anapaswa kurudishiwa pete yake(na sehemu ya mahari kwa baadhi ya makabila).

Swali kijana huyo amefanya walau machache kati ya hayo? kama hakuna amempa UREMBO TU

Happy New Year to U.. I am blessed with ur answer.
 
we una akili hadi raha, chukua LIKE
 
Taking women for granted hiyo, yaani haoni kama mwanamke anaweza sema NO.
 
Ee ni "SUPRISE" kwani suprise si kushangaa!! Hakushangaa?
 
Back
Top Bottom