Hivi hii Spin to win imekaaje?

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,016
2,591
HABARI ya jioni poleni na kazi na majukumu ya hapa na pale,naenda straight to the point Kwenye website ya parimatch kuna hii option ya Spin to win nimejaribu mara kadhaa kucheza huu mchezo naona graph ya fedha mara ipande mara ishuke,hebu wale wadau wa mahesabu ya bahati nasibu (probability) tujuzane mbinu za kupata pesa kwa sababu kuna msemo unaosema "If you don't make money you don't make sense"..in the world gambling wazee tujuzane ..
 
Back
Top Bottom