Hivi hii series ya Tyrant ni nzuri?

tafuta pia the last ship. season 1 ndo ipo ukingoni, huwa inaoneshwa sundays. nzuri sana. us na russia watakomoana kama kawa
 
poa wadau km kuna zingne npatieni coz mm napenda series za namna hyo
 
Tyrant iko vizuri mkuu. Inahusu familia moja ya kidikteta huko mashariki ya kati
 
Kama unataka kufahamu Regime za kidhalimu, Tyrant IS A MUST WATCH!
 
Nimemaliza kuangalia Season ya kwanza una episode 10 ni nzuri ...can't wait for season 2.
Ni nzuri mno kuhusu mambo ya madaraka na udhalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…