Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,166 Reaction score 2,670 Jun 5, 2011 #1 Mvulana akitokewa na msichana au akibigiwa simu na msichana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi.
Mvulana akitokewa na msichana au akibigiwa simu na msichana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi.
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Jun 5, 2011 #2 moyo unaruka kichurachura siyo, mambo ya love chemistry tu hamna zaid
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 Jun 6, 2011 #3 Papa Mopao said: Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi. Click to expand... Daah! hiyo kwangu haipo huwa nashtuka tena sana tu nikipigiwa na mtu anayenidai, tena usiombe awe baba mwenye nyumba halafu muda umekaribia na mambo hayaeleweki. Tena unaweza kukuta tumbo linaunguruma kabisa au unabanwa na haja ndogo.
Papa Mopao said: Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi. Click to expand... Daah! hiyo kwangu haipo huwa nashtuka tena sana tu nikipigiwa na mtu anayenidai, tena usiombe awe baba mwenye nyumba halafu muda umekaribia na mambo hayaeleweki. Tena unaweza kukuta tumbo linaunguruma kabisa au unabanwa na haja ndogo.
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,309 Jun 6, 2011 #4 Papa Mopao said: Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi. Click to expand... msichana mvulana msichana mvulana...wala sjaelewa..nan akimpigia nan.....
Papa Mopao said: Mvulana/msichana akitokewa na msichana/mvulana au akibigiwa simu na msichana/mvulana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa? NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi. Click to expand... msichana mvulana msichana mvulana...wala sjaelewa..nan akimpigia nan.....
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Jun 6, 2011 #5 nimerudia weee hata sielewi
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,166 Reaction score 2,670 Jun 6, 2011 Thread starter #6 FL na Rose1980! Nimerekebisha mada jamani, samahanini kwa kuwakwaza!