Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 189
- 201
Hivi kuku kama hawa wapo AU ni AI?
Sasa fanya makadirio yako kupitia calculator iliyopo kwenye tovuti ya www.primaxtz.com
Jike kg5 jogoo Hadi kg8.Uzito wanaweza fikia kiasi gani?j
Kuhusu Hilo sijui mkuu ila niliona na sikuuliza nahisi ikiingia google unaweza pata maelezo ya Kuna kumhusuNoma sana, anatumia muda gani kufika huo uzito?
View attachment 3326768
Hivi kuku kama hawa wapo AU ni AI?
Sasa fanya makadirio yako kupitia calculator iliyopo kwenye tovuti ya www.primaxtz.com
Brahima❌Hao kuku wapo hata Mimi nikitulia nawaza kuwafuga pia
Wanaitwa brahima
Toa utofauti mkuu.Brahima❌
Brahma🙏
Huyo ni mmoja wag55View attachment 3326768
Hivi kuku kama hawa wapo AU ni AI?
Sasa fanya makadirio yako kupitia calculator iliyopo kwenye tovuti ya www.primaxtz.com
Muhusika Hajasema Bali Ameandika,,Nami Nimekosoa Kwenye Uandishi Na Wala Si Matamshi....Toa utofauti mkuu.
Mtu akisema brahima na mwingine akasema brahma je utaleta kitu gani kulingana na maneno hayo?
Ahsante sana