Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
nilidhani mngeelekezana namna ya kukomesha hali hiyo...ndo kwanza mnaelekezana namna ya kuifanya kwa ufanisi zaidi!!!
Kama unaanza watakukamata sana. kama mzoefu akijaribu unamuwakia once and for all. Utaona vile atakuheshimu na kukupenda. By the way mimi nikitongoza mwanamke akanikubalia kirahisi nalazimika kuamini kuwa ni mrahisi hata kwa wanaume wengine. Demu akikuomba ela ukampa kirahisi atajua kuwa wewe ni mtu wa kutumia ela kununua wanawake...
Sema ukikubaliana kuanzisha mahusiano na baadhi ya wasichana.
Dawa yake mwambie huna pesa na kwamba ndo ulikua unajianda kumuomba yeye.
What is up JF? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro ATM au?
sema ukikubaliana kuanzisha mahusiano na baadhi ya wasichana.
Dawa yake mwambie huna pesa na kwamba ndo ulikua unajianda kumuomba yeye.
what is up jf? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro atm au?
. ACHA UTANI WEWE UNAMAANISHA MKE AU DEMU KAMA MKE SAWA DEMU SANA SANA MKIWA WOTE GHARAMIKIA kama hela ya guest, msosi n.k siyo kumpa cash kwani wewe ni baba yake!Inategemea na wanawake unaokutana nae,sio wote wapo ivo na wewe mwanaume hlo ni jukumu lako sio lazima ukumbushe,thaman ya mwanamke ni kugharimikiwa na mume/mpenzi sio lazima uombwe unatimiza tu wajibu....
atakukubali nani?
true@ senetor mapenzi ya kununuana ni ujima!! kama kweli mmependana kila mtu atakua na wajibu kwa mwenzie na kuguswa na pesa/mali ya mwenzake!!mbona me nimekubaliwa na ni m1 wa vijana walala hoi hapa tanzania?
mbona me nimekubaliwa na ni m1 wa vijana walala hoi hapa tanzania?
true@ senetor mapenzi ya kununuana ni ujima!! Kama kweli mmependana kila mtu atakua na wajibu kwa mwenzie na kuguswa na pesa/mali ya mwenzake!!