Hivi hii nayo vipi?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
What is up JF? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro ATM au?
 
weka utaratibu
mwambie gharama zako kwa mwezi ni kiasi gani
nikikupa kiasi gani zitakutosha,ukijibiwa linganisha na uwezo wako
halafu mwambie uwezo wako uko vipi,case closed......

but ukiwa mbahili saana,ukisaidiwa na wengine usistuke..
 
nilidhani mngeelekezana namna ya kukomesha hali hiyo...ndo kwanza mnaelekezana namna ya kuifanya kwa ufanisi zaidi!!!

kama nyinyi mama zao mnafanya,itakuwa wao?
wakuwa elekeza ni nyinyi,sio sisi....
 
Sema ukikubaliana kuanzisha mahusiano na baadhi ya wasichana.

Dawa yake mwambie huna pesa na kwamba ndo ulikua unajianda kumuomba yeye.
 
Kama unaanza watakukamata sana. kama mzoefu akijaribu unamuwakia once and for all. Utaona vile atakuheshimu na kukupenda. By the way mimi nikitongoza mwanamke akanikubalia kirahisi nalazimika kuamini kuwa ni mrahisi hata kwa wanaume wengine. Demu akikuomba ela ukampa kirahisi atajua kuwa wewe ni mtu wa kutumia ela kununua wanawake...
 
some truth
 
kuna vitu mwanaume hutakiwi kushauriwa

kimoja ni hiki....nihonge au nisionge........

watu watakuambia usihonge,mwanamke akaenda kwa mwingine
wewe ndo utaumia au kutoumia.....hisia ni zako mwenyewe...
 
Kwa kawaida ya hapa bongo ukianzisha uhusiano mpya kima cha chini kabisa uwe unamtumia vocha ya elfu 5 kila baada ya siku mbili haijalishi kama anafanya kazi au la tayari wamekuwa wamejiwekea utaratibu wa mawasiliano ni jukumu la mwanamme.Pia wewe ndio unaotakiwa kupiga yeye atatuma sms tu labda kuwe na dharura.
Kuanzia hapo ndio kunakuwa na utafauti kuna ambao watataka uwavishe,uwalishe,uwapangie na kadhalika.Mkitaka kutoka kula,kunywa au club hili ni jukumu lako.Wengine wanaishia kwenye vocha na mtoko tu vitu vingine anajifanyia mwenyewe lakini hawa ni wachache ambao hata ukimletea zawadi atashukuru mara 10.
 
What is up JF? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro ATM au?

Inategemea na wanawake unaokutana nae,sio wote wapo ivo na wewe mwanaume hlo ni jukumu lako sio lazima ukumbushe,thaman ya mwanamke ni kugharimikiwa na mume/mpenzi sio lazima uombwe unatimiza tu wajibu....
 
what is up jf? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro atm au?

mimi mwanamke bila kunipiga miziga nahisi hanipendi!!
 
Inategemea na wanawake unaokutana nae,sio wote wapo ivo na wewe mwanaume hlo ni jukumu lako sio lazima ukumbushe,thaman ya mwanamke ni kugharimikiwa na mume/mpenzi sio lazima uombwe unatimiza tu wajibu....
. ACHA UTANI WEWE UNAMAANISHA MKE AU DEMU KAMA MKE SAWA DEMU SANA SANA MKIWA WOTE GHARAMIKIA kama hela ya guest, msosi n.k siyo kumpa cash kwani wewe ni baba yake!
 
mbona me nimekubaliwa na ni m1 wa vijana walala hoi hapa tanzania?
true@ senetor mapenzi ya kununuana ni ujima!! kama kweli mmependana kila mtu atakua na wajibu kwa mwenzie na kuguswa na pesa/mali ya mwenzake!!
 
true@ senetor mapenzi ya kununuana ni ujima!! Kama kweli mmependana kila mtu atakua na wajibu kwa mwenzie na kuguswa na pesa/mali ya mwenzake!!

mapenzi ya dhati cku hz hamna ........ Kila m2 anakua na mwenza wake kw maslahi yake binafsi.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom