Hivi hii mila na desituri ndiyo imekwisha.???Hasa ninani aliivunja?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi sikuhizi hakuna kuchumbia?unaanza naye kama mpenzi then unachumbia baada ya kula tunda!lakini mila nilazima uchumbie tunda mpaka uoe sasa ninani alivunja hii mila??
 
Tuanze na wewe mwenyewe, ulichumbia bila kuivunja? Na kama uliivunja, kwa nini?
 
oyaa braza kiiza unajua nini? hili globe lina change ile mbaya
tunavyo kula siku hizi sio ka walivyokuwa wanakula zamani
vyakula vya minyegelesho vingi sana siku hizi.
 
Heeh!! Tupe mifano ya hivi vyakula ili tuviepuke na tuwashauri wapendwa wetu waviepuke.
 
oyaa braza kiiza unajua nini? hili globe lina change ile mbaya
tunavyo kula siku hizi sio ka walivyokuwa wanakula zamani
vyakula vya minyegelesho vingi sana siku hizi.
oyaaaaaaaaaaa msela oyaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom