Hivi, hii kitu itakula kwangu au haitakula????

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
wakuu, kuna mtu anataka kuniuzia Laptop huku mtaani.
Ni Laptop aina ya COMPAQ
Ram 2GB
CPU 900 @2.20ghz
Harddisk 250GB

BEI ni 300,000

ila betri yake

inasumbua.
( sasa wakuu, hivi kwa hii bei na hizo specifications ni sawa kweli???. Mi sina ujuzi na hizi Laptop. Arafu naomba kujuzwa, hivi kwenye hii Laptop naweza kuweka proglam ya ADOBE???? ( mambo ya kuedit picha na videos ).
 
Kama ukiamini kuwa haitakula kwako, itakuwa hivyo.

Inategemea na utakavyouaminisha Moyo wako.
 
bei si mbaya sana unweza ukamshusha hadi 250,000 cause allready ina problem ya bettery hata ukienda shop kuichukua hii bettery it will cost u a lot more than 30,000.hii ni maoni yangu
 
mkuu, nakwambia jamaa amegoma kupunguza hata senti moja
 
Ki mtaa mtaa bei simbaya, tho kama chokamb alivokushauri hapo Mshushe hata 250, kuhusu uwezo wa kuweka ADOBE I hope unamaanisha adobe Photoshop, yes inaweza kubeba tho inategemea na Version gani unaweka, coz ina meet minimum requirements za Photoshop like CS 5 inataka 2GB RAM Recommended, sina hakika sana na Video editing, but hata kama inaweza i doubt itakuwa slow coz Image editing na Video Editing zina consume memory kubwa hasa kama unafanya rendering, else uwe una edit video ndogo ndogo na kwenye resolution ndogo ndogo!
 
mkuu, sijakupata vizuri. Hebu niweke sawa
 
Wapi huwaelewa mkuu nikusaidie, kwa summary bei ya computer si mbaya na kwa kazi unayotaka kufanyia naweza sema kama ni asilimia ningeipa 40% kwa uwezo wa kuedit picha na videos.
 
Back
Top Bottom