mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu, halafu nite moja unaota ndoto tamu mno, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombana, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyako kitandani usiku mwingi na mito yako
ni sahihi ila namaanisha kuota ndoto
Futota hivi ndoto zinaletaga mfadhaiko?
kuacha huku unapenda ni hatari kwa afya yako,siku ukimwona yupo na ampendae unaweza poteza mzunguko halisi wa mapigo ya moyo.
tatizo ni moja tu, ni pale wanapogundua kuwa tunawapenda kuliko chochote,nao hutumia udhaifu huo kuwaumiza wenzi.imenitokea imewatokea wengi, na inawatokea wengine na itaendelea kutokea ni roho ya mateso haitakoma...!!!
.....ndiyo hivyo ushauri,maoni nasaha zako zahitajikandio......
tatizo ni moja tu, ni pale wanapogundua kuwa tunawapenda kuliko chochote,nao hutumia udhaifu huo kuwaumiza wenzi.
bora umpende ndani kwa ndani na asijue kuwa unampenda sana...
slave uko sahihi kabisa lakini kumbuka kuna wengine hatuwezi kuficha upendo kwakuwa michepuko sio zetu
mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu,hii kali.
halafu nite moja unaota ndoto tamu mnoeheee...
, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombanahapo sasa!
, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyakosuch a romantic day...
kitandani usiku mwingi na mito yakohii movie sasa jamani...