Hivi hii inawezekana Wakuu?

Hivi hii inawezekana Wakuu?

Kaka acha uoga,eneo hilo la 107.5sqm linatosha kabisa kwa nyumba ya kuishi labda hofu yng vyumba vitakua vitakua sio vikubwa sn.
Ramani yng ni km yako kwa kila kitu ulichokitaja ila mi eneo lililokua covered kwa ujenzi ni 110sqm na vyumba vyangu ni vikubwa tu hyo sebule ndo usiseme.kwa kawaida chumba standard ni (3*3)m.
Ahsante sana mkuu, sebule yako inaukubwa gani?
 
Back
Top Bottom