Hivi hii ina maana gani?

Hivi hii ina maana gani?

Mc barida

Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
27
Reaction score
3
Kumekuwa na form v 2nd selectin hatukuchukuliwa mungu c athuman 3rd selctin zmetoka 2meachwa hvi tamisem ina2fikiriaje wakt 2na vgezo vyote vya kwenda advance mm nna credt 1.6gpa maon yenu wakuu au kuna special program nyingne 2itegemee??
 
yaani umejibu thanks mkuu as if huyo aliekujibu ni serikali,jipange kwa namna nyingine km kuna nafasi ya kufanya mengine anza kujiandaa ili serikali wakitoa uende wasipotoa upige hayo mengine
 
hivi 1.6 ndo unasema unavigezo au macho yangu

mimi nina mdogo wangu alikuwa na 1.4 na kapangiwa shule second selection.. hujatendewa haki bro, but don't worry there may be somewhere else to take you
 
Kwan we ultaka niwe na kigezo kip zaid ya hcho we mkongwe
 
Nshajipanga taman ila nashangaa 2 y selikr haija2tendea hak
 
Nshajipanga taman ila nashangaa 2 y selikr haija2tendea hak


Hiki kizungu chako unachokiandika humu ndani nadhani hawajaona wachambuzi wa mambo, haya.

Unapokuwa na wakubwa nawe jifanye mkubwa hata kama ni mtoto weka utoto pembeni for a while.

When you are in ROME do as the ROMANS do.

Be a Roman in Rome.

When in Rome, do as the Romans do.


Kila la heri dogo.
 
Pamoja bwana mkubwa kiOO ila naamini hata wewe ulitoka nilipo mimi sasaivi yote maisha
 
we tulia ualim wa awali unskuhusu subifia post za ualim utachaguliwa karibu sana Bunda TC usome diploma ya aina yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom