Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
mbali na hayo,acha niendelee kutulia tuu..unaambiwa hamna kosa kubwa kama kufanya ujinga nyumbani(eneo/mtaa unaoishi)bora ufanyie mbali kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazuri sanaaa katakuwa kamemfanana baba akee etiMshipa ake
Kabinti kasupuuu, hongera sana jamanii
hahhaha,ndio yote nafanyaMkuu wewe ni kaka yao lakini... Itika tuu hakuna namna ingine
KabisaaaKazuri sanaaa katakuwa kamemfanana baba akee eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ailee kabisaaa kabla hajaanza kuitwa dada
Shikamoo kakaHivi hii imekaaje warembo wazuri wazuri,wengine wadogo zangu kuwa na mazoea ya kuniita "Kaka?". .yaani mpaka nakossa hamu sasa
Yaan naona kabisa huyu ni mdogo wangu lakini mazoea hayapungui,Na wengine ndugu..na huku bado naitwa braza kweli haki hii jamani??+kwenye phone usumbufu usumbuf
Kwani hairuhusiwi kumzoea kakahahhaha,ndio yote nafanya
lakini mazoea ni ya nini sasa?alafu unaniita braza?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Baba yake ulimuona wapi?Jamani
Katoto kazuri [emoji8][emoji8][emoji8] kama baba akee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba yake ulimuona wapi?
Sakayo amekupigia cm eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba akee namjua mm mpare mmoja hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Baba yake ulimuona wapi?
Sakayo amekupigia cm eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwo ndiwo nakazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliona vidole vyake na kidevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliona vidole vyake na kidevu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaaaa
Mbegu inauzwaHahahah baba mtoto atakuwa muhandsome aisee cc mshipa hiyo mbegu inapatikana eti
kwa taarifa yako hamna mazoea mabaya kama mtoto wa kike kwa mwanaume,alafu uitwe braza..ok,pia unaona kabisa huyu ni kama sister kwako,then bado uitwe bro???kweli???🤔Kwani hairuhusiwi kumzoea kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu huyo wa kuuza mbegu sijamuona mm
Hahaha hahahaNdiwo ndiwo nakazia