Hivi hii hali na nyie wenzangu huwa mnakutana nayo?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Wakuu wasalaamu,


Ile ya kumfananisha mtu na mtu mnayefahamiana hasa ukiwa mbali kidogo lakini baada ya kumsogelea unagundua sio yeye na yule uliyemfananisha lakini cha kushangaza ukifika mbele kidogo unakutana na mwenyewe kabisa uliyemfananisha na yule mliokutana awali.
Hii nimekutana nayo mara nyingi sana katika matembezi je na nyie hii hali huwa mnakumbana nayo na inaitwaje kitaalamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom