Salaam kwenu wanajukwaa ,amani ya mungu wangu iwe nanyi
Leo napenda kuiliza juu ya uwepo wa kozi fupi za IT hapa nchini mwetu
Je zipo!?
Gharama yake ?
Na ubora wake ni upii?
Je naweza kusoma hata Online hiyo IT kwa certificate?
Shukran kwenu ,Amani iwe nanyi