hivi HESLB wanaposema "no signed loan contract" wanamaanisha nini?

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
wapendwa wana JF, mdogo wangu alikuwa katika category ya "NO LOAN CONTRACT SIGNED"
swali;
inamaana kuna ki/vipengele hakusaini alipokuwa anapeleka?
na je kama ndo hivyo, anahitajika kupeleka upya?
na nimetazama batch mpya iliyotoka juzi na tena hayupo.
naombeni ushauri tufanye nini.
ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom