Hivi herigo kit ni dawa ya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi herigo kit ni dawa ya nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by mchajikobe, Aug 15, 2009.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  wana jf kuna dawa inaitwa herigo kit je kuna yeyote aneyejua hutibu nini?je nikweli hutibu ulcers?
   
 2. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Moderetors hii thread iende JF doctor hapa si mahala pake.
   
 3. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dawa inaitwa Heligo kit ni mchanganyiko wa dawa tatu maalum(kit) ambazo kazi yake ni kutibu peptic Ulcers ( Vidonda vya tumbo).
  Lakini kabla hujaitumia ni vizuri kuonana na wataalam kwa ajali ya
  uchunguzi na vipimo.
   
Loading...