Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 329
- Thread starter
- #21
sawaa
Kuwa bize na mambo yako tu
sawaa
Kuwa bize na mambo yako tu
Msaidie kijana wetu...Huyo demu haujamuacha tu
NB ,nipe namba zake ili nimuambie asikusumbue tena
Ivi bado unahangaika nae tu? si umuache mtu mwenyewe umemuokota mitandaoniWakuu, huyu msichana anaonyesha kila dalili kuwa hanipendi lakini nikimwambia tuachane kama vipi hatakii. Nikisema nimsemehe anaendelea na tabia zake zilezile nikisema nimpotezee ananitafuta huku analalamika.
Nitumie mbinu ipi kumuacha?
🙏🙏🙏🙏
Ivi bado unahangaika nae tu? si umuache mtu mwenyewe umemuokota mitandaoni