Hivi haya matokeo yako wapi!!!??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi haya matokeo yako wapi!!!???

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jovinmwilanga, Jan 11, 2012.

 1. J

  Jovinmwilanga New Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mbona 2nasikia yako tayari....ayko tayari!!! sisi form 4 tunapata presha!!! matokeo yanatoka lini?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​hebu vuta subra na umalizie tution ya pre form 5
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hayo bado bado kwanza,lazma waanze na form 2 kwanza. Form 4 labda mwisho wa january au mwanzo wa february.
   
 4. b

  bonafide. Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dogo matokeo february,punguza mchecheto ilimradi umepg pepa yatakuja 2.Nakutakia kl kheri on ths.
   
Loading...