Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
SijalipataWeka la lile la TTCL
Ukilipata na lenyewe "hakuna wazee" hahahahahahahSijalipata
Weka la lile la TTCL
Linasemaje vileUkilipata na lenyewe "hakuna wazee" hahahahahahah
Wazee mwisho Chalinze,huku mjini wote babyWeka la lile la TTCL
TTCL WAMEKANA HILI SIO TANGAZO LAO
Vipi mkuu,unadeal na mikataba ya bima nini?Dawasco na wao wametoa lao.mwaga umwagiwe
Hawa jamaa ndio wametisha. Na msipokuwa makini mtatiwa kweli maana huu ni mtandao wa sirikali.