Hivi haya bado yapo?

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
SIJUI KAMA SIKU HIZI ZIPO HIZI
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Kwenda kuangalia sinema za Ukimwi na Lishe sokoni
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Ndala kuchemshwa ili zisiishe
12. Kucheza umeshikilia kaptula sababu mpira umekatika
13. Kuchonga penseli na meno
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16.Kwenda shuleni na tofali na kidumu cha maji

17.Kwenda na Kigae cha moto(hii ni kwa Iringa pekee)

Wewe unakumbuka nini...?
 

gobore

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
717
195
-Kwenda na kioo shuleni maalum kwa kuchungulia chup! za wadada
-Shule kufungwa kwasababu ya nyonyadamu( ana gari lina msalaba mwekundu)
 

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,642
2,000
Kuchoma nywele kwa kutumia kipande cha chungu (chamoto)-
Kupaka mavi ya kuku sehemu mtu aliyokung'ata ili meno yake yang'ooke
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,626
2,000
Kupaka majani ya mmavimmavi au ***** ktk dawati la mwalimu mnoko.

Kuandika LY katika daftari au kitabu ukiwa la darasa la saba.

Kuwa na utirio wa masomo yote kuanzia la darasa la tano hadi la saba,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

ikula86

Member
Dec 2, 2012
5
0
Kupiga mswaki kwa kipande cha mti
Familia kusubiria baba mwenye nyumba arudi ndo wale
 

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,923
1,195
-Kwenda na kioo shuleni maalum kwa kuchungulia chup! za wadada
-Shule kufungwa kwasababu ya nyonyadamu( ana gari lina msalaba mwekundu)

hapohapo kuna masela walinaswa wakat tunasimama kumsalimia mwalimu wao wanachungulia vituz' wakati huo hawajui hata chupi ni nini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom