Hivi hawa watu wapo

Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
 
ndo maana ukawapga picha
Sijawawahi kuwaona live ,kwangu inakuwa kama nipo ndotoni ni kiona kwenye mapicha na kujisemea kimoyomoyo nisije nikachekwa kuwa wametumia dawa za kienyeji na kwa kuwa soko la mademu siku hizi ni kuwa hivyo ,basi najisemea ndio maana nawaona wengi wamefura lakini hawa labda wamejaza mito !
 
hao wapo wamejaa tele MMU, ngoja wadau waje wakutajie majina yao...
 

Nenda katoe swadaka huo mkopo na MUNGU atakuzidishia...inshaalah...
 
Ulikuwa unachukua wa nini kama hauna cha kufanyia
 
Naona matapeli mumegundua njia nyingine ya kyjupitisha kwenye thread cc mshanajr
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…