Hivi Hawa Wapenzi wanapendana Kweli?

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
863
Sikia hii.


Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kukaa miaka 15, katika kukimbiakimbia akajikuta anaingia nyumba moja na kuwakuta mtu na demu wake wamelala kitandani wakiwa uchi.

Akamtoa bwana kitandani na kumfunga kamba kwenye kiti,akaenda kumbusu mwanamke kwenye shingo kisha akaingia bafuni.

Wakati yuko bafuni jamaa akamwambia mkewe, "Sikiliza huyu bwana ni mfungwa angalia magwanda yake !! Inaonekana amekaa sana jela na ............. siku nyingi sana, hivyo umpe chochote atakacho na usibishe hata akitaka kinyume na maumbile mpe vinginevyo atatuuwa wote wawili, fanya ufanyavyo ili umridhishe huyu bwana aende zake, uvumilie mpenzi, nakupenda sana na ntaendelea kukupenda zaidi".

Mwanamke akajibu "ni kweli usemayo mpenzi huyu bwana ana ........ nyingi sana, ila aliponibusu shingoni alininong'oneza kwamba MUME WAKO NI MZURI NA AMENIVUTIA ZAIDI, KUNA VASELINE AU MAFUTA YOYOTE?

Nikamwambia iko bafuni na ndio kaifuata!! "vumillia mume wangu nakupenda sana na ntaendelea kukupenda zaidi."


Kazi kwenu.
 
Gender sensitiv naomba uwe pia word sensitiv ah huku hata watoto wanaingia kama guest huyo sentensi ya huyu ni mfungwa hajananilii siku nyingi naomba ungeiedit kiddddddogo
 
angalieni hii isijegeuka ze utamu, kama vp ishu zingine ziwe zinawekwa kule kwa wakubwa, na wanaoingia huko hawatashangaa, lkn hapa mmmh.
 
Ninaomba radhi wote....nimepunguza ukali wa maneno...asanteni sana kwa ushauri wenu mzuri
 
GS aksante sana.

Sasa kama ni kweli mbona kazi ila uwezekano mkubwa ni kuwa mke ataendelea kuishi na mumewe kama hakuna kilichotokea lol ila angefanyiwa mwanamke sijui mume kama angevumilia
 
GS aksante sana.

Sasa kama ni kweli mbona kazi ila uwezekano mkubwa ni kuwa mke ataendelea kuishi na mumewe kama hakuna kilichotokea lol ila angefanyiwa mwanamke sijui mume kama angevumilia

Nashukuru kwa kulitambua hilo...mfumo dume ndo unawamaliza wanawake..yaani angekuwa mwanamke ndo amefanyiwa hivi angepata talaka 3 kama sio 4 kwa kisingizio kwamba inawezekana jamaa aliyetoka jela huenda akawa ameathirika...very nice excuse.
 
huyo mfungwa nadhani ungepewa huyu noniliii huyu nani huyu...., aaah BWABWA!!.
 
Mwanamme ndio mbaya kwani alikuwa wa kwanza kumshauri mke wake kwa kuogopa kifo.. Na hana MAPENZI ya kweli kwa mke wake..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom