Hivi hawa wamemkosea nn Muumba!

Wangelikuwa hivyo sidhani wengi wenu wanaume msio wachaga mngeliua kwa ajili ya wivu wao. Uliza vizuri na pia fanya utafiti, viongozi wako wengi wameoa kina manka.
 
Mbona wachaga wapo wengi tu miguu mizuri,wewe mkuu unabahati mbaya ya kukutana spoku..
 
..unapataje nafasi ya kuhoji au kukosoa uumbaji wa Mungu?
We mbona huwa unakachekaga kale kajamaa kafupi cha mtaani kwenu,au hujui ni kazi ya Mungu ...........????
 
Nashangaa mwanamke gani huyu anavaa vichupi vya kiume!!
 
Haha, we waseme tuu, siku raisi akitokea uchagani ndio utaielewa sheria ya mtantao
 
wewe unafanywa kweli;
hao wachagga umewazaa weye.

Mathayo 16: 23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
 
wewe unafanywa kweli;
hao wachagga umewazaa weye.

Mathayo 16: 23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
Mbona 'mipovu' kibao mamaa?!... uzi umekushona nini?!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…