balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,633
- 12,813
Mkandawile alikuwa anaishi nyumba aliyojenga mwenyewe Pugu karibu na kwa Busanji
Pole ujipe mwenyewe mkuu!
Sababu unafikiri you can fool everybody, all the time, ilhali track record ya kauli zako humu jukwaani inakuumbua.
FYI, you're the last person i'd expect to know anything about the very basic principles of Chemistry
even at Form Two Level: leave alone your pretensions of having studied advanced-level science subjects (like Chemistry) at Tambaza High School.
Muddy physics, hidden, mtata de mtatuzi.....
"Nataka kumfanya Mariam Mie fanyaaa" (Kumbe anafanya swali )- hidden
"Ladies and gentlemen let us end here for this particular... So astalavista manyanaa " - muddy
Mr Smith has... blah blah blah -muddy
please any update ya mkandawile, alinipiga tafu kunisukumia medical skul kwa chemistry, Mama Shija alikua Azania tena akifundishia tuishen DIT kiindi fulani, Busanji yupo wapi? Makumaku pia kwa Biology Mnazi mmoja 2000?
Mkandawile alikula hela za kanisa Dar akakimbilia Mwanza. Mpaka sasa anaishi kwa utapeli huko. Ana deni Vision Fund pale Mwanza. Ki ufupi ukikutana na huyu mtu kimbia.Hivi Bado wanafundisha ?
Siyo hela za kanisa alikopa hela CRDB akaanzisha shule chanika ikawa inafanya vizuri Sana ,alipokosea ni pale alipojiingiza kweny utawala 100% na kuacha kufundisha kabisaa wakati shule ilivuma Kwa ufundishaji wakeMkandawile alikula hela za kanisa Dar akakimbilia Mwanza. Mpaka sasa anaishi kwa utapeli huko. Ana deni Vision Fund pale Mwanza. Ki ufupi ukikutana na huyu mtu kimbia.
Alikuja akataka kunipiga changa la macho kisa alinifundisha Pugu miaka hiyo pale kwake
Kama sijakosea ni marehemu sasa huyo bwana...Busanji yupo marian boys saivi
Ni jana tu nimesikia matangazo yake ya tution secondary ya Baptist Mwanza pale kina ya BwiruKumbe na weye MBOIZIA...wazee wa tukutuku...aisee mie nilikua BWENI KUU Ruhinda kule juu...tulikua tunasumbuana na MZEE MADUKA kuamshana asubuhi....
-----------------------------------------------------------------------------------------------
BACK TO TOPIC
Mkandawile long time sana sijamsikia sijui uzee unamtesa au ndio tena vijana wameshamzidi.....
Yuko MwanzaHuyu jamaa (Mkandawile) alikuwa jembe letu la ukweli sana pale Pugu.
Sijui yuko wapi sasa hivi?
mke wake ndo alikuwa mhasibu pale ikalaSiyo hela za kanisa alikopa hela CRDB akaanzisha shule chanika ikawa inafanya vizuri Sana ,alipokosea ni pale alipojiingiza kweny utawala 100% na kuacha kufundisha kabisaa wakati shule ilivuma Kwa ufundishaji wake