VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Wakuu siyo mara ya kwanza kunitokea, leo tena nimeingiza vocha ya elfu mbili, ile naangalia tu salio nakuta mia sita! Sasa kwanzia leo naanza kutafakari kutumia huu mtndao wa mijizi, yaani mtu unajibana unanunua vocha halafu wao wanakuchakachua hovyo hovyo, au ndo kodi ya sim kila mwezi buku 1000? Huku siyo kutenda haki ,
Mkuu Kama Unatumia Smart phone huwenda kuna App zipo waz muda wote ukiweka hata Elf 5 Inalambwa. Lakini kama ni Kitochi yafaa kuwatwangia uwaeleze tatizo hilo Watakurudishia Salio lako.
Wakuu siyo mara ya kwanza kunitokea, leo tena nimeingiza vocha ya elfu mbili, ile naangalia tu salio nakuta mia sita! Sasa kwanzia leo naanza kutafakari kutumia huu mtndao wa mijizi, yaani mtu unajibana unanunua vocha halafu wao wanakuchakachua hovyo hovyo, au ndo kodi ya sim kila mwezi buku 1000? Huku siyo kutenda haki ,
muwe mnazma Data kwanza kama haujajiunga na kifurush wenye smartphone wote tofaut na hvyo mtakuwa mnalalamika tu mbuz nyie
mimi niliwahi kuweka vocha ya elfu 10 voda...nikajaribu kununua kifurushi ikakataa...nikaamua kuzima "mobile data" hapo hapo..ila ile nacheki salio nikakuta 1200..hata sikupata tabu ya kuwatafuta customer care..laini yao iko kwenye droo..nilishahamia airtell

muwe mnazma data kwanza kama haujajiunga na kifurush wenye smartphone wote tofaut na hvyo mtakuwa mnalalamika tu mbuz nyie
Sawa Mkuu,ila Ulipaswa Uzime Mobile Data Kwanza
mh??!!muwe mnazma Data kwanza kama haujajiunga na kifurush wenye smartphone wote tofaut na hvyo mtakuwa mnalalamika tu mbuz nyie
muwe mnazma Data kwanza kama haujajiunga na kifurush wenye smartphone wote tofaut na hvyo mtakuwa mnalalamika tu mbuz nyie
Bavicha utawajua tu