Hivi hawa viongozi wa chama na serikali wanaoenda Loliondo kwa babu wanaumwa magonjwa gani sugu?

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wana Jf kuna wimbi la viongozi wa chama cha mapinduzi na serikali yake kwenda Loliondo kwa babu kupata matibabu, sisi kama wananchi tuna wajibu wa kujua ni kipi kinawasumbua viongozi wetu , kama ni kweli wana magonjwa sugu, mfano mrema anaumwa kisukari, je wengine wanaumwa nini
 
Unapokuwa mwovu kupindukia, anything is possible.Hawa wengi ni Kisukari,Ukimwi,HBP nk.Baada ya kukataa uponyaji wa Yesu,sasa wameletewa shetani katika mfano wa malaika wa nuru.
 
Back
Top Bottom