Maana nashangaa kila ninaekutana nae analalamika kwamba kanunua kifurushi ka-reply SMS "Kiboko Uao" ila code ambazo ndio ticket hajapatiwa. Hivi wanatuzingua au inakuwaje? Naombeni kujua kutoka kwenu wadau. Kama nyinyi mshapata hizo tiketi zenu au laa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.