Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Tecno ndiyo simu gani mkuu tumia ata basi ka samsung j1 ase
Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo
Akili kumkichwa..
Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo
Akili kumkichwa..
Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
Wanataka kurudishiwa simu zao!
Kuna tecno zimeingia hazina hata applicatins za gallery,fike manager etc
Tecno ndiyo simu gani mkuu tumia ata basi ka samsung j1 ase
Sawa basi tumia ata kinokia cha tochi orijino
Hapa nimeelewa kwanini wanasema tecno sio simu
Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Unazungumzia simu kama hii au?Kuna tecno zimeingia hazina hata applicatins za gallery,fike manager etc
Unazungumzia simu kama hii au?
Gallery imeandikwa "Files" ina Google Go cleaner ndani yake.
Na file manager ipo ila utaipata ukifungua >>Settings>>Storage>>ExploreView attachment 966716View attachment 966717View attachment 966718