Hivi hawa tcu na nacte wanampango gani na walimu

Tushauriane tusio na GPA za 3.5 nasi tuipate hiyo elimu ya chuo kikuu jamaniiiiiiii
 
wasio na GPA za 3.5 aisee nawapa pole sana.....daaah huu mwaka umeangukia pabaya sana kulaleki sasa wale waliochelewa kusoma imebuma yaan degree hapana kuiona kabisa...kama ningekuwa mimi ningesoma upya diploma
 
Kwani hakuna chuo kinachotoa adv dip kwa teachers jamaniiiiiiii
 
Hawawezi kazia hiyo GPA ya 3.5 wewe itakuwa ni tatizo kubwa na vyuo vitafungwa kwa kukosa wanafunzi afu wewe hushtuki tu mbona admission zinachelewa !jiangalie wewe kitambo ufaulu upo vile vile ila ilitakiwa tu kuondoa janja janja ya kupata vyuo bila sifa na siyo kukomoa kwa kupandisha GPA kwa watu wa diploma afu mtu wa six ana vidii vyake viwili tu eti anakwenda chuo (DD) sijaona kitu hapo mimi
 
wasio na GPA za 3.5 aisee nawapa pole sana.....daaah huu mwaka umeangukia pabaya sana kulaleki sasa wale waliochelewa kusoma imebuma yaan degree hapana kuiona kabisa...kama ningekuwa mimi ningesoma upya diploma
Haya huwa tunaita maamuzi magumu mkuu
 
Wapendwa naomba mnisaidie,hivi hawa walioomba diploma in Primary education wanapangwa lini?
 
Mi naona mpango wao ni kuona wafanyakazi hawajiendelezi kielimu maana dah nakumbuka wakati namaliza chuo diploma sidhani kama Kuna aliekapata 3.5
 
Endeleeni na kazi kwn kutakuwa na mfumo wa moja kwa moja TCU ukitokea kazini
 
Hawawezi kazia hiyo GPA ya 3.5 wewe itakuwa ni tatizo kubwa na vyuo vitafungwa kwa kukosa wanafunzi afu wewe hushtuki tu mbona admission zinachelewa !jiangalie wewe kitambo ufaulu upo vile vile ila ilitakiwa tu kuondoa janja janja ya kupata vyuo bila sifa na siyo kukomoa kwa kupandisha GPA kwa watu wa diploma afu mtu wa six ana vidii vyake viwili tu eti anakwenda chuo (DD) sijaona kitu hapo mimi
Wapo wenye vi A A lakini ni asante past papers.
 
Back
Top Bottom