Hivi hawa supabrand wanatoaje pongezi kwa vituo vya radio

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,258
2,840
Najiuliza hivi ipi ni superbrand kati ya radio Clouds na Radio one na kati ya Itv na Clouds Tv maana kila moja hujisifia kuwa ni superbrand nashindwa elewa
 
Hahaha nathani wanaangali vigezo vingii ikiwemo kutazamwa sana na wananchi au kusikilizwa sana na wananchii....

Sasa ndo jiongeze hapo mkuuu kipi kinatazamwa sana wananchi na kipi kinaa sikilizwa sana na mwanachi..
 
Sema ww sasa superbrand yako kati ya
Cloudis radio vs Radio
ITV na Clouds tv
 
clouds ni superbrand kwa upande wa radio na IPP ni superbrand kwa upande wa Television
 
Back
Top Bottom